Mimi huwa siweki fotoshopu mkuu...Uzi wa likes, heshima kwako SHIMBA YA BUYENZE,, kazi uliyoifanya nasi hapa ni kijanja. Picha hizi na nyinginezo zimeufanya Uzi huu uvutie![]()
Sauti sol[emoji91] [emoji91]Melanin
[emoji444][emoji445][emoji445][emoji445][emoji445][emoji126][emoji126][emoji126]
Sitaki kuamini cole jamaniMimi huwa siweki fotoshopu mkuu...
CHAWAMITA imepamba moto hapa...Mchina bado namtafutia cheo. Pengine itabidi nimwachie hiki cha Ukatibu Mkuu kwa sababu anakuja kwa kasi sana...
Hata Cole na Yegomasika nao wanafikiria kujiunga na CHAWAMITA...Ni mafanikio makubwa kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]