mkongwe ameondoka...TANZIA : Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo...Mungu ailaze roho ya marehemu Mahala pema peponi..
Arsenal wameamua, kwa mshahara huo huwezi kung'okaMesut Ozil akisaini mkataba wake wa kuendelea kubakia Arsenal huku kushoto akiwa amesimamiwa na kocha Arsene Wenger
Ozil ambaye mkataba wake ulikuwa unafikia tamati mwisho wa msimu huu, amesaini mkataba huo ambapo atakuwa analipwa mshahara wa kiasi cha paundi 300,000 kwa wiki ikiwa ni tofauti ya paundi 120,000 kati ya mshahara wake na ule anaulipwa Pierre-Emerick Aubameyang aliyesajiliwa wiki hii katika timu hiyo
Akapumzike makazi stahikiTANZIA : Mwanasiasa mkongwe, Mzee Kingunge Ngombale-Mwiru amefariki dunia alfajiri ya leo...Mungu ailaze roho ya marehemu Mahala pema peponi..
Gonga likes, pata likesJapo mmenisusa nimemiss
Pesa inaweza kukutafutia wa kukupa furahapesa haiwezi kukupa furaha
Nipe 5 mkuu[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]Ni bora kukosa furaha ukiwa na pesa kuliko kukosa furaha bila pesa !!!