moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sawa4: Uwe mtu wa furaha na tabasamu unapokutana na watu.
Sawa4: Uwe mtu wa furaha na tabasamu unapokutana na watu.
Vema6: Usipende kulaumu watu na kama utalaumu mtu,tumia njia nzuri na ya upole ya kumsaidia na kumjenga.
Sawa nakubali7: Usiwe msengenyaji na usimseme mtu vibaya.
Kweli9: Shukru kwa kila jambo jema linapotendeka kwa kusema ahsante au shukru kwa kila jambo._
Kuna wengine bila KIBESI hawaendi12: Uwe mpole na usiwe mkali kwa watu.
Nakubaliana nawe14: Uwe mnyenyekevu na usijivune kwa kwa lolote lile,kama kuna jambo zuri kwako acha wengine wakusifu.
Pokea likes mengi nakubaliana nawe, asante29: Nigongee like hata kama hujaipenda hii.
Ngoja nikutafutie kampan ya yego na wine zakeView attachment 689399#currentmood#