Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nachati na namba ngeni..
"baby mambo..?
Mimi: poa.

Nakupenda sana baby?
Mimi: sijakuelewa.

Mkeo hambo?
Mimi: sijaoa, nani mwenzangu?

Nikajibiwa...
Mimi mkeo mama saidi nipo ndani nimelala hii namba yangu mpya.
 
West Ham walishindwa kumnunua mshambuliaji kutoka Algeria Islam Slimani, 29, kwa sababu Leicester walikataa kufanya biashara na Karren Brady baada ya mwenyekiti huyo wa West Ham kunukuliwa gazetini akizungumzia kufutwa kwa meneja wa zamani wa Leicester Claudio Ranieri. Slimani amehamia Newcastle kwa mkopo. (Guardian)
 
Arsenal watajaribu tena kumtafuta fowadi Mbrazil Malcom, 20, kutoka Bordeaux majira ya joto, na huenda wakamtafuta pia kipa wa Atletico Madrid kutoka Slovenia Jan Oblak, 25, kutafuta mlinda lango wa kuchukua nafasi ya Petr Cech, 35. (Evening Standard)
 
Back
Top Bottom