Mwaka 1960, Tanzania ilikuwa na watu milioni 10, lakini kwa sasa kwa mujibu wa makadirio ya Umoja wa Mataifa kuna watu milioni 59, hata hivyo, haya ni makisio tu.
Fedha ni jambo muhimu zaidi katika dunia ya sasa kuliko miaka 30 iliyopita. Hii ni kwa sababu ya mabadiliko mbalimbali ambayo yametokea duniani hasa kutokana na teknolojia.