chibalangunamchezo
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,542
- 2,648
I'm back wana like
Misambwanda jamani. Kuitazama tu ni burudani tosha hapa duniani. Wengine eti huangalia mamilioni ya nyota huko juu ili kuuona utukufu wa Muumba wetu. Mi nikiona msambwanda wa ukweli basi tosha kabisa. Ni uthibitisho kamili kuwa kuna Muumba kwa sababu evolution na upuuzi wake wa nachuro selekisheni kamwe hauwezi kupurodyusi maajabu na burudani kama hiyo....Duh jaman ushaanza hahaha SHIMBA YA BUYENZE njoo uoneee
Zanzibar, kama si tamaa yao ya kupenda kutawaliwa na mataifa ya kigeni leo ingekuwa mbali.20. Somalia ilipata mashine yake ya kwanza ya ATM tarehe 7, October, 2014. Kabla ya hapo hakukuwa na ATM yoyote nchini Somalia.
21. Zanzibar ndio nchi ya kwanza kuwa na television ya rangi Africa.
Hahahaha na mnavyojua kujieleza sasa hahaMisambwanda jamani. Kuitazama tu ni burudani tosha hapa duniani. Wengine eti huangalia mamilioni ya nyota huko juu ili kuuona utukufu wa Muumba wetu. Mi nikiona msambwanda wa ukweli basi tosha kabisa. Ni uthibitisho kamili kuwa kuna Muumba kwa sababu evolution na upuuzi wake wa nachuro selekisheni kamwe hauwezi kupurodyusi maajabu na burudani kama hiyo....
Bro. Naomba nichukue nafasi hii kukukaribisha rasmi katika chama chetu pendwa cha CHAWAMITA...
Hahaha sijui mieSasa mkao huo unaashiria nini, muwasho wa fungus? [emoji1][emoji1][emoji1][emoji124][emoji124]
Mkuu michezo gani hiyo? Usivune machenza kabla ya muda wake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Naumwa siwezi kuchezesha magego yangu
Hahaha sijui mie
Ukiwa na magari ya kutosha lazima ujengewe barabara. Una ndege moja tena ya jeshi, viwanja vya nini?16. Ethiopia ndio nchi pekee Afrika yenye viwanja vingi vya ndege vyenye hadhi ya kimataifa (International Airports). Ina viwanja vya ndege 23 vyenye hadhi ya kimataifa. (Tanzania tuna viwanja vya ndege vitatu vyenye hadhi ya kimataifa (JNIA-Dar, KIA-Moshi, na Songwe-Mbeya).
Yaan kwa kuangalia tu inaonekana walikaa wawili ndo maana wezele ikaganda mnato kwenye kiti hahaaDoc, hebu toa prognosis yako; kwa kuangalia tu yaani! [emoji23][emoji23]
Yaan kwa kuangalia tu inaonekana walikaa wawili ndo maana wezele ikaganda mnato kwenye kiti hahaa
Anafikiri ni maembe (mabichi) ili ayale na chumvi na pilipili...Mkuu michezo gani hiyo? Usivune machenza kabla ya muda wake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hujamjua Numbisa wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Sikujua kama na wewe ni mtundu namna hii, khaa! [emoji1][emoji1]
Hivi ni nchi gani Afrika ambayo hata haina tamaa ya kutawaliwa na mataifa ya kigeni iliyo mbali sana?Zanzibar, kama si tamaa yao ya kupenda kutawaliwa na mataifa ya kigeni leo ingekuwa mbali.
Hujamjua Numbisa wewe...
Test zali tuone.....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huwezi kuwalaumu madaktari. Wao ni zao la mfumo uliopo na siyo haki kuwasonga wao katika hili. Kama wanasiasa wanachukua mamilioni, kwa nini mtu muhimu kama daktari asilipwe vizuri? Fyeka mishahara ya mianasiasa, waongezee madaktari na walimu...Hii inafaa waijue madaktari walio tayari wagonjwa wao wapoteze maisha ili tu wao wapate $ 2'200/