Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
AwesomeKicheko tena murua cha jioni hii! Asante kwa kuchangia kuimarika kwa afya yangu! [emoji1]
AwesomeKicheko tena murua cha jioni hii! Asante kwa kuchangia kuimarika kwa afya yangu! [emoji1]
Kitu cha ajabu kabisa kheee mabega yapo chin hahahaa
Imejitype halafu ,Mie mgeni maeneo haya iwe bojo. Ngoja nikalale mie.Hivi mnaongelea nini? Sijaelewa kabisa aisee! [emoji1][emoji1]
Imejitype halafu ,Mie mgeni maeneo haya iwe bojo. Ngoja nikalale mie.
Jion njema yegoUsiku mwema, Numbisa!
Jion njema yego
Numbisa ww. Stop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kitu cha ajabu kabisa kheee mabega yapo chin hahahaa
Mimi ndo siagwi? Kha !!!Jion njema yego
Jion njema shimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa buyenzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeMimi ndo siagwi? Kha !!!
Huuuuuuu !!! Na presha imeshuka sasa. Ngoja nikatafute chakula cha jioni cha moto kitamu mnato nile nipambane na baridi hii....Jion njema shimbaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa buyenzeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Hahaha topiki closedNumbisa ww. Stop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ule ushibe hakikisha unakombeleza chote hakuna kubakishaHuuuuuuu !!! Na presha imeshuka sasa. Ngoja nikatafute chakula cha jioni sasa...
Ulale salama....!!!
Nitakombeleza chote...Japo itategemea na utamu wake...na kushiba kwangu...Sijui leo una nini...Hayupo nini? Na injini iko on?Ule ushibe hakikisha unakombeleza chote hakuna kubakisha
Uwiii nimeisoma vizuri hahaahaa cha moto mnato chenye mafuta mafuta lainiiiii wacha weeeeHuuuuuuu !!! Na presha imeshuka sasa. Ngoja nikatafute chakula cha jioni cha moto kitamu mnato nile nipambane na baridi hii....
Ulale salama....!!!
Hayupo nani,i keep it private no one can predict about being in relationship,single,divorced,widow etc hahaha. Everyday its on bana inaendaga wapi isipokua onNitakombeleza chote...Japo itategemea na utamu wake...na kushiba kwangu...Sijui leo una nini...Hayupo nini? Na injini iko on?