moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Hata ikiwa hivyo ndivyo kwanini ugome? Je huna njia nyingine sahihi kudai haki yako mpaka mgomo. Mgomo kwa faida ya nani? Huyu mwananchi wa sengerema, misugusugu, mombo nk ana ugomvi gani na Daktari mpaka atekekezwe hospitali na msomi mwenye tamaa? Hivi ikiwa kugoma ni njia sahihi itakuwa vipi na polisi wakigoma nchi hii?Huwezi kuwalaumu madaktari. Wao ni zao la mfumo uliopo na siyo haki kuwasonga wao katika hili. Kama wanasiasa wanachukua mamilioni, kwa nini mtu muhimu kama daktari asilipwe vizuri? Fyeka mishahara ya mianasiasa, waongezee madaktari na walimu...