Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1e66eed81fda543d7a5deecb275601c1.jpg
Ati mnaona nini hapa? maana mi naona ukungu kwa moshi uliopo huku kwetu
 
9. Kabila la Limba huko Zambia, mama wa mvulana ndiye anayemtafutia mwanae binti wa kuoa. Mama ndiye anayemuapproach binti, na kulipa mahari kabla hata binti hajamuona kijana mwenyewe. Kinachotakiwa ni binti kumkubali mama tu.. Ukimkubali mama means umemkubali na mwanae. So mwanae utakutana nae kwenye harusi, mambo mengine kabla ya harusi anafanya mama yake.
Hii ikifika kwenye makabila ya huku kwetu, vijana wengi watakosa radhi ya mama na hivyo kuishia kuokota makopo
 
18. Rais wa Eritrea Isaias Afwerki ndiye Rais Maskini kuliko wote Afrika. Analipwa mshahara wa Dola 500 za kimarekani ($ 500) sawa na Shilingi 945,000/=. Hiki ni kiwango kidogo cha mshahara kuliko daktari wa mfunzo nchini Tanzania (Intern Doctor).
Hii inafaa waijue madaktari walio tayari wagonjwa wao wapoteze maisha ili tu wao wapate $ 2'200/
 
Back
Top Bottom