Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Home
Very true.... ni dawa pia wanadai inazuia magonjwa mbali mbali ya hatari. Mimi ni mmoja wa wale ambao chakula hata kiwe kitamu namna gani kama hakuna pili pili kali iwe pilipili kichaa, mbuzi au za kawaida chakula kinakuwa si kitamu kivile.
Asante konge, nilikuwa nakula kama chakula, sasa nitapata chakula na dawa pia
Asikwambie mtu hakuna moment ninayo furahi pale ninapo mwangalia mwanamme mwenzangu akiwa anaangalia msambwanda ni burudani ToshaKama kuna zingine rusha bro...
![]()
Ndiyo kwanza inagonga saa mbili usiku. Yote ni mema. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120]Asikwambie mtu hakuna moment ninayo furahi pale ninapo mwangalia mwanamme mwenzangu akiwa anaangalia msambwanda ni burudani Tosha
Kwema lakini bro siku inaishaje
Bro lile jina la Gest umelitoa wapi lugha bwanaNdiyo kwanza inagonga saa mbili usiku. Yote ni mema. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120]
Inawezekana ni DRC au Zambia huko...Umelipenda?Bro lile jina la Gest umelitoa wapi lugha bwana
Mi niko macho !!!Amkeni mliolala