Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Amna lugha hizi za ajabu sanaInawezekana ni DRC au Zambia huko...Umelipenda?
Nguruwe pita
Binadamu kamwe hawezi kuwa nguruwe bro....[emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Nguruwe pita
Wanamwitaga Baby Oprah...
Mimi tena??Leo uko tofauti wewe...Haya bana. I know you are a private person. Nilikuwa najaribu kupapasa gizani kwa kutumia hisia zangu. Nilichogusa ndo hicho nilichogusia.
Natamani Carba angekuwepo hapa. Na Andjul...