Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kheee kheee kheeeee utamu wa JamiiForums huu! Hata ShilawaDU anashinda humu kutwa kucha ili naye amiminiwe likes. Huwafukuza wapambe wake ofisini kwake eti ana kazi nyeti kumbe yuko JF majukwaa ya siasa, chit chat, MMU na lile la kule chini kabisa kwa raha zake. 😡😡😡
 
Acha maneno kula likes Mkuu BAK:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…