Safi sana bro. Naandaa hafla fupi ya kukupokea chamani rasmi....
Nyota ya Daudi
Ukihamia Mogadishu pale itapendeza zaidi....View attachment 689731
Nikinunu kama hiyo wezi na migambo pale kwenye kibanda cha maza pale kariakoo kibanda cha mama ntilie nahakika hawata sogea ntakuwa mi kazi yangu nawinda mapaka tu.
Unazungumzia nini mkuu?View attachment 689743mbinunyingine za kukamata nyoka hazifai
Na wazungu sio watu ni mi nyau tyu.