Kati ya 2002 na 2008 , Lyon ilishinda mataji saba ya ligi ya daraja la kwanza mfululizo.
Katika Ligi ya Uingereza, ni klabu nne - Chelsea, Manchester City na Leicester ambazo zimeshinda ligi katika misimu 12 iliopita.
Tangu ianzishwa 1992 , ni klabu sita ambazo zimeshinda huku Blackburn Rovers na Arsenal zikiwa klabu nyengine mbili zilizoshinda taji hilo.
Ila mida ya saa 7 usiku nime enjoy kusoma post zako kumbe na ww umechangamka hivyo vizuri sanaHahahaa na wewe umo
Hahahaa kumbe ulikuwepoIla mida ya saa 7 usiku nime enjoy kusoma post zako kumbe na ww umechangamka hivyo vizuri sana