sio kweli!!Pesa inaweza kukutafutia wa kukupa furaha
Wanaishigi sehemu za jangwa nnHiyo ndo raha ya maisha.
Wanakuwaga joto hao balaa.
Picha zako zinavutia mkuu, una haki kupata chochote toka hapa. Habari za jumamosi mkuuKwema moud cheo hapana kwa kweli
[emoji109] [emoji109] [emoji106]Uzi umenipa kampani nzuri nimestuka saa 8 asanteni Wakuu
AminMungu atupe siku njema
he he heUzi usio na maana uliokusanya wana JF wote [emoji23]
Aaah wewe shusha mapicha picha tuNumbisa bahati mbaya hiyo
Hahahaa na wewe umoSio mimi