3. Wezi wa penguini
Watalii wawili kutoka Wales walijipata taabani 2012 baada yao kulewa na kuiba ndege aina ya penguini kwa jina Dirk kutoka kituo cha Sea World, Australia. Rhys Owen Jones, 21, na Keri Mules, 20, waliamka baada ya ulevi kuisha na wakajipata na ndege huyo katika chumba chao.