Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kitu cha kwanza ni kukubaliana na ukweli kwamba mtazamo wako (jinsi unavyojitazama) hubadilika badilika. Tena hubadilika kiasi ambacho mara nyingine huwezi kutambua. Unaweza kuchagua mwenyewe jinsi unavyotaka mtazamo wako uwe. Kwa mfano;
 
1. Kufanikiwa au kushindwa

Jaribu kutoangalia nyuma kule ulikowahi kushindwa zaidi, kila mtu anahistoria ya kushindwa sio wewe tu. Wacheza mpira maarufu duniani, mara nyingine hukosa magoli rahisi kabisa lakini hakuna hata mmoja aliye acha kucheza au kuharibu fani yake kwa sababu ya kukosa goli
 
Wala hakuna aliyekiri kuwa yeye sio bora kwa sababu tu ya kukosa goli moja. Ni vema kukumbuka kule tulikowahi kushindwa kama tu tunataka kujifunza katika makosa yetu, na sio kwa kutaka kujisononesha na kujilaumu kwa namna tulivyokosea. Jifunze kuziacha historia za kufeli na kushindwa zifukiwe katika yaliyopita
 
Tengeneza mafanikio yako wewe mwenyewe anza katika hali ya chini kabisa, chagua vile vitu usivyo viweza kabisa kuvifanya mfano; Kuzungumza mbele ya watu, kuimba, kuogelea, kuwa kwenye usaili, kusimama mbele ya kamera n.k anza kuvifanya kwanza kupitia ufahamu wako (viwaze akilini) hali hii inaitwa (creative visualization) ni njia majawapo bora ya kufanya mazoezi ya vile tunavyoshindwa katika fikra zetu,
 
kwanza jitahidi kujitazama fikrani ukiwa au ukifanya vitu hivyo kwa ushindi hadi ufahamu wako utakapoizoea hali hiyo na kuacha kutuma jumbe za kushtuka (kupanick) au uwoga wakati utakapokuwa unafanya vitu vile kihalisi.
 
Katika kufanya mazoezi ya kufikiria kimtazamo, chagua kufanya katika utulivu mchana au jioni. Muda kabla hujaenda kulala ni mzuri zaidi. Rudia zoezi hili mara kwa mara mpaka uzoee na fikra zizoee.
 
27459858_1717375961618498_6308603322265103477_n.jpg
 
Aiseeee[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Yego,mwenzio nililisahau hilo jina matokeo yake nimeonekana kituko kwa nilio kaa nao jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mungu ni mwema, vipi huko ndugu yangu

[emoji1][emoji1][emoji1]... Huku kwema kabisa bhana, tunamshukuru Muumba! Mambo vipi, uko Siberia? Nasikia unalalamika kipupwe! Tujuzane aisee!
 
Back
Top Bottom