Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jambo ambalo huendelea hata katika utu uzima wao. Wako wengi ambao tabia zao za leo zilianza kuharibikia katika shule za bweni mbali na wazazi kwa mfano tabia za kusagana au kuingiliana kinyume na maumbile.
 
Kama mtoto atakuwa akiambiwa kila wakati kuwa “kamwe huwezi kuwa na akili kama dada yako” maneno haya hufanyika halisi kwake. Je hujawahi kusikia mtu akisema “mimi sijui kuogelea”, “mimi sijui kama nitaolewa” “Kamwe sitokaa niendeshe gari” , “Mimi sintokaa nijue kiingereza”, “Mimi na kuimba ni tofauti”
 
Haimaanishi kama watu hawa wangeanza kujifunza au kuzaliwa katika mazingira ya vitu hivi, wangevishindwa. Labda kuna sehemu mtu au watu fulani waliwasemea kutoweza au kushindwa na huo ukawa mwanzo wa kuwekewa kizingiti cha ujuzi ndani yao.
 
Wakati wowote mtu anapojisemea jambo, au neno lililo baya, lisilojenga, lakushindwa, kama utalisema kwa sauti au utalifikiria akilini, katika hali yoyote ile jambo hili hulazimisha uhalisi wa maneno yale kuingia katika mfumo wa maisha yako na kutenda kazi kwa hiyo jifunze kukataa,
 
Kama hujiamini wewe mwenyewe wala hujithamini, basi utakubali kirahisi kila neno gumu na baya utakaloambiwa na kila mwenye tabia ngumu na kama utayakubali unayoambiwa au unayorushiwa hutaweza kamwe kukabiliana na ushindani kutoka kwa mtu au watu wenye tabia ngumu. Kumbuka daima udhaifu huanzia kwako mwenyewe.
 
2b6f0898b70b3c456e1a5c93a72041f0.jpg
 
Back
Top Bottom