Hilo ni ombi la karibu kila mtu...Na wafungwe tu kwa kweli! Wametuchosha!
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Jamaniii carba[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nitayaleta bila kuagizwa....Nayatamani hayo madude[emoji39][emoji39][emoji39]ila yasiwe yameiva sanaView attachment 689878
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tokaaaa...Mara paaap!majirani wanakaa kibarazani kuangalia neema za nchi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Tutakuwa genge. Wanawake wanne na wanaume watatu. Chicken wings kwa wingi, games mbalimbali, muziki na drinks. Mimi sitakunywa ila nimebet New England wakishindwa ndo nitaonja huo mvinyo maalum. Aliyeuleta anasema aliununua huko Mexico.26%eeh??[emoji23][emoji23][emoji23]
Ikibaki nitumie
[emoji120][emoji120][emoji120]Next time ukienda mwakaleli tena nitakuagizaNitayaleta bila kuagizwa....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] aah!! Bahati gani hiyo... Nimeamini mkaa bure sio sawa na mtembea bure...
Akili zako zinajitegemea zenyewe[emoji1] [emoji1] [emoji1]Nilianza kuweka pole pole akaanza kusema namuumiza nikaamua kuweka yote haraka akatulia[emoji6][emoji6]aki hizi earings dah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji113][emoji113]