Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1517685338742.jpg
 
Tutakuwa genge. Wanawake wanne na wanaume watatu. Chicken wings kwa wingi, games mbalimbali, muziki na drinks. Mimi sitakunywa ila nimebet New England wakishindwa ndo nitaonja huo mvinyo maalum. Aliyeuleta anasema aliununua huko Mexico.

Wakilewa wote nitauchapa halafu nikuletee...
Unacheza muziki??
Me nitaomba mrejesho wa jinsi ulivyotambaa baada ya kugida mvinyo[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Wenyewe mko kibarazani
andjul;SYB hivi umeona ule msambwanda pale
SYB;Achana na huo sasa,cheki ule pale
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]majirani

Ngoja nikalale mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Tulikuwa tunafanya hivyo Temeke miaka ile. Halafu ghetto lenyewe lilikuwa karibu na baa. Kulikuwa na misambwanda na mamiguu ya kila aina...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom