Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi huko?

Tumvumilieni. Mwenyewe anasema siku hizi hajali sana watu wanavyomfikiria. Ni uhuru huu nadhani unaomsumbua. Akikua ataacha [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23]eti akikua ataacha.
We mwambie afurahie uhuru wake tu,maisha yenyewe mafupi haya afanye chenye moyo wapenda.
Jana usiku huko,ulisema waenda tafuta chakula....[emoji23] [emoji23]nilicheka kama chizi asubuhi
 
Nilikuwa na Numbisa...Ilibidi kuyazima maongezi yale...Mtu unapigwa na baridi mpaka unachanganyikiwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…