Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bar gani mkuu? Nimekulia mitaa ya Njinjo,Tmk mwisho,Sudan,Wiloles yote toka Mombo hadi kanisa la Lutheran kuelekea ukumbi wa IMASCO uwanja wa taifa.
Baadae nikahamia mitaa ya akina moudgulf,watoto wanakaba na ubao wa misumali. Temeke mikoroshini shenzi kabisa
Kuna baa moja hapo Njinjo ilikuwa inaitwa Bulyaga (sijui kama bado ipo). Aisee ilikuwa inatiririka mijimama pale ya kufa mtu. Kulikuwa na moja linaitwa Mama Fide - jeupeee umbo namba nane mamiguu mchongoko mazito na msambwanda legevu mmeng'enyo. Kwa kweli pale palikuwa kiboko mpaka nilipohama nilisikitika yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kabisaa ukahama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulichoka kuona neema za nchi au?
Haki siku hizi waniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
126fda7de616ac7e855b5db6dd1acee5.jpg
Wenyewe wanasema mapenzi ni kama kiti cha basi.....
 
Nyota wa zamani wa soka nchini Argentina Digo Maradona amenyimwa kibali cha kuingia nchini Marekani baada ya kudaiwa 'kumtusi' rais Donald Trump katika runinga.
Maradona alitarajiwa kusafiri kuelekea Miami kushiriki katika kusikilizwa kwa kesi ya mkewe wa zamani .
Lakini Maradona ambaye anasimamia klabu ya UAE ya Al Fujairah amekatazwa visa kwa mara nyengine kuingia Marekani.
Katika mahojiano Maradona anadaiwa kumuita Trump 'Chirolita'.
 
Mshambuliaji wa Chelsea aliyeelekea katika klabu ya Borussia Dortmund kwa mkopo Michy Batshuayi alifunga mabao mawili katika mechi yake ya kwanza na klabu yake mpya dhidi ya Cologne.
Batshuayi, ambaye alielekea Dortmund hadi mwisho wa msimu huu alifunga bao lake la kwanza katika kipindi cha kwanza kabla ya kuongeza bao la pili baada ya saa moja .
Mabao hayo mawili yalijiri baada ya bao la Simon Ziller kabla ya Jorge Mere kuwasawazishia wenyeji.
 
Back
Top Bottom