andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Nami nikahisi Bulyaga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] wengi tuliponeamo pale.Kuna baa moja hapo Njinjo ilikuwa inaitwa Bulyaga (sijui kama bado ipo). Aisee ilikuwa inatiririka mijimama pale ya kufa mtu. Kulikuwa na moja linaitwa Mama Fide - jeupeee umbo namba nane mamiguu mchongoko mazito na msambwanda legevu mmeng'enyo. Kwa kweli pale palikuwa kiboko mpaka nilipohama nilisikitika yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilianzia maisha kwenye nyumba ya akina dk Cheni wa maigizo Njinjo karibu na limti la kichawi kuuubwa.
Ahsante Mungu nipo salama[emoji120] [emoji120]