carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una mimacho lol!!Nimeiona hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SYB:....chakula kitamu mnato....
Numbi:..injini on....
Cole:[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] syonangike...
Kuna baa moja hapo Njinjo ilikuwa inaitwa Bulyaga (sijui kama bado ipo). Aisee ilikuwa inatiririka mijimama pale ya kufa mtu. Kulikuwa na moja linaitwa Mama Fide - jeupeee umbo namba nane mamiguu mchongoko mazito na msambwanda legevu mmeng'enyo. Kwa kweli pale palikuwa kiboko mpaka nilipohama nilisikitika yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bar gani mkuu? Nimekulia mitaa ya Njinjo,Tmk mwisho,Sudan,Wiloles yote toka Mombo hadi kanisa la Lutheran kuelekea ukumbi wa IMASCO uwanja wa taifa.
Baadae nikahamia mitaa ya akina moudgulf,watoto wanakaba na ubao wa misumali. Temeke mikoroshini shenzi kabisa
Tokaaaaaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji134] [emoji134] [emoji134] pampulaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....Nimeiona hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
SYB:....chakula kitamu mnato....
Numbi:..injini on....
Cole:[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] syonangike...
Kabisaa ukahama?[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna baa moja hapo Njinjo ilikuwa inaitwa Bulyaga (sijui kama bado ipo). Aisee ilikuwa inatiririka mijimama pale ya kufa mtu. Kulikuwa na moja linaitwa Mama Fide - jeupeee umbo namba nane mamiguu mchongoko mazito na msambwanda legevu mmeng'enyo. Kwa kweli pale palikuwa kiboko mpaka nilipohama nilisikitika yaani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenyewe wanasema mapenzi ni kama kiti cha basi.....
Ilikuwa lazima kuhama...Kabisaa ukahama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Ulichoka kuona neema za nchi au?
Haki siku hizi waniacha hoi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeona kwa bahati mbaya tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]una mimacho lol!!
mmh!!Ilikuwa lazima kuhama...
Kukuacha hoi...Nivumilie shemeji...
Nitalog off JF soon....