Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
10. Husaidia kupumzisha misuli ya mwili
Kukumbatiana kunasaidia kupumzisha misuli ya mwili ambapo watu wengi wanapokumbatiana hulegeza misuli yote iliyokaza na kusaidia mwili kupumzika. Hii ndiyo maana wazazi wengi hushauriwa kuwakumbatia watoto wao wanapoamka asubuhi na kabla hawajalala