Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Halafu ndo ukute leo ndo mwanzo wa kuteleza weuwee mtaliaje na kutafuta visingizio tele
Na Mwenyezi Mungu ayaweke maombi yako kwenye moto wa milele! [emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu ndo ukute leo ndo mwanzo wa kuteleza weuwee mtaliaje na kutafuta visingizio tele
Nite by nite
HahahahahahaNa Mwenyezi Mungu ayaweke maombi yako kwenye moto wa milele! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha kwendaaaNa Mwenyezi Mungu ayaweke maombi yako kwenye moto wa milele! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaha kwendaaa
Mkuu habari za sikuHahaaa, we nae! Si umeona tumeondoka na pointi moja! [emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu naye atalaumu maisha magumu na umasikini?
Huyu jamaa kwa muonekano wake hawezi kufa, atamfanya kitu mbaya sana huyo bonge bonge. Naamini akitoka getho huyo bonge atatembea kwa mikono yake badala ya miguu[emoji3] [emoji3] [emoji3] game kama hizo nilishazionaga mkuuNgoja lifakamie pombe na wewe hapo unajichekesha chekesha tu. Today you gonna die [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Halafu jamaa ukimcheki vizuri ni kama mnara tayari unasoma tayari kwa timbwili...Kama ana uzoefu, he will be OK...Huyu jamaa kwa muonekano wake hawezi kufa, atamfanya kitu mbaya sana huyo bonge bonge. Naamini akitoka getho huyo bonge atatembea kwa mikono yake badala ya miguu[emoji3] [emoji3] [emoji3] game kama hizo nilishazionaga mkuu
Marahaba mukazi wange !!!Sawa dadyy, Kwema kabisa, Shkamoo dadii
Mkuu mwanamitindo huyu anaumwa, maana anaona kibaridi kinampiga[emoji3] [emoji3]
Huyo jamaa alete mrejesho,[emoji3] [emoji3] mkuu ujue zamani zile TMK tungemfanyia hiviHalafu jamaa ukimcheki vizuri ni kama mnara tayari unasoma tayari kwa timbwili...Kama ana uzoefu, he will be OK...
Mkuu habari za siku