Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Swali langu ujajibuNakutega Tena jaman Umeshaondoka dom
Pesa....
Madaraka....
Umaarufu.......
Endelea kuvitafuta hivi mkuu na siku yako ikifika acha wosia kuwa unataka ukazikwe Vatican kando ya Mtakatifu Petro. Watatekeleza......
13:3713:00
Pesa....
Madaraka....
Umaarufu.......
Endelea kuvitafuta hivi mkuu na siku yako ikifika acha wosia kuwa unataka ukazikwe Vatican kando ya Mtakatifu Petro. Watatekeleza......
The one only atakuja hakuna shaka Juu ya hiloKaribu tena mkuu. Tunakuomba umrudishe ISIS humu....
Forex pasua kichwa mzee inabidi kutulia sana ukikurupuka tu umekwishaNiache? Tena sasa ndo nimecharuka zaidi. Utafikiri nimerogelezewa. Kwema lakini. TMT huko mnasemaje na maforex yenu?
Ugali samaki wabichi kolekole hakika mtamu sanaMlo mwema wa mchana
Na kwako pia mkuuMchana mwema