Afrika yaani vioja haviishi.......Wafanyakazi wa umma nchini Burundi wameanza kukatwa mishahara ili kufadhili uchaguzi mkuu unaotarajiwa mwaka wa elfu mbili na ishirini.
Katika kipindi cha miaka miwili ijayo, raia wote wa Burundi walio na zaidi ya umri wa kupiga kura wa miaka kumi na minane na zaidi, ni sharti wachangie katika hazina hiyo ya kitaifa.
Pesa....Hii ni double standard kwa Kanisa katoliki
Hahahahaha huyu ni Goddess ISIS yupo njiani kuja kwenye uzi wetu pendwaSi ajabu huko wanamkoromea halafu anaishia tu kuwatia kwenye ignore list. Ni afadhali tu arudi huku kwenye upendo na anakotambulika rasmi kama Malkia wetu...