moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Marahabaaa, hujambo kijanaWakubwa shikamooni wadogo mambo zenu
Marahabaaa, hujambo kijanaWakubwa shikamooni wadogo mambo zenu
SijambooooMarahabaaa, hujambo kijana
Njema mkuuHabari za masiku wanalikes
Mkuu misamiati yote hiyo kisa ni likes!!!! Pokea likes za kishindo mkuuUkitaka kuujua uwezo wako wa kiakili, angalia unavyozitatua changamoto zinazokukabiri.Je changamoto zako unakimbia au unazitatua? Hapo ndipo penye kipimo pekee cha kujitambua ulivyo.
Gonga likes za kutosha
Wafanye connection na kwetu huku maji bwerere
Duuu, weweSijamboooo
Tupo shwari mkuu, habari za majukumuYap mkuu niaje habari za masiku mzee wa TMK
NambieeDuuu, wewe
Hahahahaha mkuu umetishaUkimpa mkeo, kodi ya meza. Ukimpa mchepuko umehonga, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha mkuu umetishaUkimpa mkeo, kodi ya meza. Ukimpa mchepuko umehonga, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Majukumu yanabana kinoma lakini muda ukiwepo likes kama kawaidaTupo shwari mkuu, habari za majukumu
DemissNambiee
Abeeeeeh (in Wema voice)Demiss
Shukran sana,za kupotea?Assnte mamito Jana niliona performance ya Sanchez hongereni kwa ushindi
Unanitega, sijui ni nyavu au ndoano!!!Nambiee
Juzi na jana hakuwepo. Huwa yupo na picha zakeMzee wa man u yupo kweli sijakutana na post yake hata moja 24 hrs now