Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa nazo ni kigeugeu kabisa
Ukitoa kwenye ibada SADAKA
Ukitoa kwenye msiba RAMBIRAMBI
Ukilipa kwenye usafiri NAULI
ukilipa shuleni ADA
Ukilipa kwa ajili ya kuoa MAHARI
Ukilipa makato ya serekalini KODI
Ukinunua haki RUSHWA
Sasa sijui yako ya mfukoni inaitwaje
Ukimpa mkeo, kodi ya meza. Ukimpa mchepuko umehonga, [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom