Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pesa nazo ni kigeugeu kabisa
Ukitoa kwenye ibada SADAKA
Ukitoa kwenye msiba RAMBIRAMBI
Ukilipa kwenye usafiri NAULI
ukilipa shuleni ADA
Ukilipa kwa ajili ya kuoa MAHARI
Ukilipa makato ya serekalini KODI
Ukinunua haki RUSHWA
Sasa sijui yako ya mfukoni inaitwaje
 
39c8f0b3365369c703e7e7c73b2687e1.jpg
Mkuu mambo yako haya bado hujaacha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hila yuko bomba sana
 
Back
Top Bottom