Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7063b705fd0153fbeb9fe20ad82cee37.jpg
Ingekuwa ni kweli Afrika tungekuwa mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika soko la sasa, kumbukumbu ya 512 – 800MB utaipata hadi Tsh 200, 000. Kumbukmbu ya uhakika ya 1GB inapatikana kwenye simu za bei ya kati inayoambaa-ambaa hadi Tsh 600, 000. Kumbukumbu ya 2GB+ ni bora zaidi na inapatikana kwenye simu za hali ya juu kama Samsung Note na Nexus 6. Apple i-phone 6 ina kumbukumbu ya 1GB na simu za Windows huwa na RAM ndogo pia kwa kuwa hutumia kumbukumbu kidogo zaidi ya mfumo wa Androidi.
 
Back
Top Bottom