Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uhifadhi

Simu nyingi zina uwezo wa kupokea memori-kadi ili kuongeza hifadhi ila ukubwa wa hifadhi ya ndani ya simu ni muhimu zaidi, kwani unakuonesha uhuru wako wa kushusha programu na mara ngapi utahitaji kufuta au kuhamisha vitu kutoka kwenye simu yako.
 
Katika soko la sasa, kumbukumbu ya 512 – 800MB utaipata hadi Tsh 200, 000. Kumbukmbu ya uhakika ya 1GB inapatikana kwenye simu za bei ya kati inayoambaa-ambaa hadi Tsh 600, 000. Kumbukumbu ya 2GB+ ni bora zaidi na inapatikana kwenye simu za hali ya juu kama Samsung Note na Nexus 6. Apple i-phone 6 ina kumbukumbu ya 1GB na simu za Windows huwa na RAM ndogo pia kwa kuwa hutumia kumbukumbu kidogo zaidi ya mfumo wa Androidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…