Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
NiceNitajitahidi bhana next time tujumuike wote
NiceNitajitahidi bhana next time tujumuike wote
Utakuwa unakuta akaunti zimeshaungua...Utanifanya na Mimi niwe na late
Mimi ni RC kwa kweli hii imenisikitisha sana double standard ya hali ya juuWe acha tu mwenye nacho huongezewa,huku nilipo huwa nashuhudia makapuku waliokacha jumuia mbili tu wanapelekeshwa na kuzirwa sembuse kuzikwa daah pesa hizi
Pole ila usikate tamaa ndo maisha yalivyoMimi ni RC kwa kweli hii imenisikitisha sana double standard ya hali ya juu