Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Niliacha kuangalia BONGO MOVIE tu pale demu alipopigwa risasi ya kichwa akiwa anaendesha gari huku akiwa katika speed kali sanaa af akapunguza mwendo akapaki pembeni ndo akafa[emoji3][emoji23][emoji16]