Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Majukwaa mengine huko wanamnyanyasa sana mwambie arudi huku tunakompenda na kumuenzi kama kwini ofu Zemunda...
Mi nilikutana naye uzi furani nikishangaa sana, maana alinimwagia likes za kishindo. Nikaja mbio mbio huku nikidhani ametupia zile picha zake, kumbe hayupoMimi nilimuona kwingine pia. It is brutal out there na yeye masikini siyo mtu wa matusi wala lugha chafu. ISIS come back home !!!
Hatimaye mpagani kuzikwa na kanisa, njaa si kitu cha kispoti spoti. Tafuteni hela mpate heshima kwenye nyumba za ibadaUsicheke Numbisa yaani Mimi suala la kumzika kingunge kidini mbaya zaidi kanisa lenye msimamo kama katoliki limenishangaza kabisa miaka yote tunamjua yeye na dini tofauti kabisa