Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka kama chizi
Pu****
 
Je ni askari wa barabarani?


Au ni wewe uliyesababisha?


Ukweli ni kwamba hukuwa na lolote la kufanya kwa kumwagika kwa chai, lakini jinsi ulivyoonyesha hisia katika zile sekunde tano, ndipo ulipoharibu siku yako. Yamkini ingekuwa bora ungefanya tofauti kama ifuatavyo
 
Chukua taulo haraka jifute, na kubadili shati na utoke na begi lako la kazini na kuagana na binti yako akienda kupanda gari la shule.

Ondoka, wahi kazini na upate dakika chache za kusalimiana na wafanyakazi wachache kabla ya kuanza kazi.

Angalia tofauti hapa!
 
Hapa utaona ukweli kwamba, unanafasi kubwa ya kuzitawala asilimia 90 za yale yanayoendelea maishani mwako, hususani kwa jinsi uzitawalavyo hisia zako.


Jinsi ya kuitendea kazi kanuni hii


Iwapo mtu au watu wanakusema au kukufanyia mambo mabaya, usiyameze tu na kuyaruhusu yakuumize.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…