Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Al Shabab noma sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Uzi wa likes haujui mahali alipo baba Ivy. Bob12
Al Shabab noma sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Uzi wa likes haujui mahali alipo baba Ivy. Bob12
HahahaTaratibu
Uzi wa likes unamkubuka sana Charie Neisha
Mrudishe kundiniYuko majukwaa mengine huko
Nakwambia ni shida....Hahahhaaa mtoto ametisheeerr
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Bili ilivyomchanganya MASSAWE.!
MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=
MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii.
Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe...
Niliwahi kumuonya akabisha[emoji3] [emoji3] [emoji3]Al Shabab noma sana [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]