Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Today is World Cancer Day. Nearly every family in the world is touched by cancer. Strengthening early diagnosis improves chances of survival for millions of people living with cancer.
27540697_1731589500219759_338516988694367372_n.jpg
#cancerday#
#togetherletsbeatcancer#
 
Nsamaka jirani mpenzi, yani kipenzi cha watu, mwanamwali ambaye kila ukitia timu hapa unaacha mtifuano baina yetu. Tafadhali njoo tuburudike.
 
Sasa ujakutana na kisa jini anavuka barabara anaangalia kushoto na kulia au majambazi wanakwenda kuvamia nyumba wanavua viatu nje[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha, [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Bongo movie mkuu ni majanga. Mi huwa wananishangaza wanapochagua nyumba wanazoenda kushuti. Yani ni yale majengo ya kitajiri kupindukia. Tofauti kabisa na maisha halisi tunayoishi manzese
 
Bili ilivyomchanganya MASSAWE.!

MASSAWE alienda na marafiki zake bar kunywa, baada ya kumaliza kutumia akaletewa bili kama ifuatavyo:
Manka 35,000
Marieta 20,000
Kekuu 30,000
Kitime 15,000
Kinabo 10,000
TOTAL 110,000/=

MASSAWE akaicheki akasema "Wote nitawalipia lakini huyo "TOTAL" Yesuu simlipii.
Kwansa anamiliki sheli kibao sa mafuta hapa bongo. Shensi taip ! Na amekunywa nyingi kuliko wote alipe mwenyewe...
 
Back
Top Bottom