Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtangazaji Wa mpira Wa kizungu akiwa anatangaza

Mtangazaji: now is Eden hazard with a ball to willian willian back to cante cante look for morata

Mtangazaji wakibongo sasa:

Naam anakwenda pale kichuya kichuya anapaka rangi mpira pale huyu kichuya alizaliwa mwaka 1990 katika kijiji cha mtogore ndanindani kule ni mtani wangu sana huyu anakwenda pale okwi huyu okwi alizaliwa nchini Uganda na ni nyota Wa team ya taifa ya Uganda the cranes anakwenda pale john bocco huyu ni mchezaji Wa zamani Wa azam fc ni mkongwe sana huyu ana urefu Wa futi saba ni mweusi afu mwembambawatangazaji wetu Sijui huu uchuro wanautoaga wapi?
 
*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*

KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:

*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”

*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.

*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.

*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.

*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!

Chezea Wahaya wewe!
 
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo vya lazma...

Sikia hii...:Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za Mbuzi jikoni..Mara Mbwa akachukua Pumbu...Watoto kwa sauti kubwa"Babaaa!" Mbwa kachukua pumbu zako...! Wakaanza kumfukuza acha Pumbu za Baba...Mbwa huyoooo…! kachukua Pumbu za Baba,...wewe rudisha Pumbu za Babaaaa! We acha Pumbu za Baba...Pumbu za Baba.. yaani mtaa mzima watu mshangao...Pumbu za Baba

Usicheke yangekukuta wewe ungejifungia ndani mwezi mzima...
 
Jana wakati nasafiri nimefika sehemu nikanunua chocolate wakati nakula mzee aliyekaa jirani yangu akaniambia kijana chocolate zinaharibu meno. Nikamwambia Babu yangu alikufa ana miaka 108.
Akauliza alikuwa anakula chocolate nikamjibu alikuwa hafatilii maisha ya watu. Sasa naona mzee amehama siti nadhani anataka shuka!.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Huyu ndiye Numbisa ninayejaribu kumuiga. Uhuruuuuuuuu !!!
 
*USICHEZE NA WAHAYA KABISA*

KUNA MUHAYA ALISIMAMISHWA NA TRAFIKI:

*MHAYA:* UNASEMAJE BWANA MDOGO??”

*TRAFIKI:* KWA NINI UNAENDESHA GARI UKIWA HUJAFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME GARI, SEMA RANGE ROVER.

*TRAFIKI:* SAWA KWA NINI UNAENDESHA HII RANGE ROVER BILA KUFUNGA MKANDA?

*MHAYA:* USISEME RANGE ROVER TU; SEMA RANGE ROVER YA MWAKA 2017.

*MHAYA:* HII NI NEW MODEL YA KISASA KABISA, MKANDA WAKE NI WIRE LESS HUWEZI KUUONA.

*TRAFIKI:* SAFARI NJEMA KIONGOZI!

Chezea Wahaya wewe!

[emoji56]
 
Jana wakati nasafiri nimefika sehemu nikanunua chocolate wakati nakula mzee aliyekaa jirani yangu akaniambia kijana chocolate zinaharibu meno. Nikamwambia Babu yangu alikufa ana miaka 108.
Akauliza alikuwa anakula chocolate nikamjibu alikuwa hafatilii maisha ya watu. Sasa naona mzee amehama siti nadhani anataka shuka!.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1487][emoji1487]
 
Watu wazima tuwe na mipaka ya kula vitu visivyo vya lazma...

Sikia hii...:Baba baada ya kumaliza kuchinja Mbuzi akaenda kuchoma pumbu za Mbuzi jikoni..Mara Mbwa akachukua Pumbu...Watoto kwa sauti kubwa"Babaaa!" Mbwa kachukua pumbu zako...! Wakaanza kumfukuza acha Pumbu za Baba...Mbwa huyoooo…! kachukua Pumbu za Baba,...wewe rudisha Pumbu za Babaaaa! We acha Pumbu za Baba...Pumbu za Baba.. yaani mtaa mzima watu mshangao...Pumbu za Baba

Usicheke yangekukuta wewe ungejifungia ndani mwezi mzima...

Taratibu
 
Back
Top Bottom