Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unafanyaje pale mtu anapokuendeshea gari vibaya au kukuchomekea ukiwa barabarani unaendesha, unatukana? unalaani? unagonga usukani au kupiga honi kwa hasira? Je unapofanya hivyo kuna anayekujali? Kwanini uruhusu magari ya haribu raha ya uendeshaji wako. (usisahau kanuni ya 90-10).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…