Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

You will only lose the people who God did not intend for you to win with. You are not your own, you belong to God and God's plans for your life are under covenant. What is meant for you is meant for you, God will change you before He changes His plans for you. Remember that the plans for your life are not based on what you deserve, they're based on who you serve. God will work all things together for your good, and if it's not for your good He will work it out of your life. ✍️[emoji818]️
 
Tunaambiwa pichani ni wanawake wa Kabila la Mangbetu kutoka Congo ambao wana utamaduni wa kurefusha vichwa vyao kwa kufunga na kukaza sana kitambaa mtoto wa kike anapozaliwa wakati fuvu lake likiwa bado halijakomaa ili kumuongezea urembo !! . Ingawa katikati ya karne at 20 wakoloni wa Belgium walipiga marufuku mila na tamaduni hizo but Tunaambiwa bado kuna watu wa Kabila Hilo hadi sasa wanaendelea kurefusha vichwa vya watoto wa kike . Wewe unaonaje hivyo vichwa mithili ya Mtu aliyebeba mzigo wa kuni? Ni kweli urembo huo unakuvutia ?"
27573459_1018801414937837_3199887155350470656_n.jpg
 
Tunaambiwa pichani ni wanawake wa Kabila la Mangbetu kutoka Congo ambao wana utamaduni wa kurefusha vichwa vyao kwa kufunga na kukaza sana kitambaa mtoto wa kike anapozaliwa wakati fuvu lake likiwa bado halijakomaa ili kumuongezea urembo !! . Ingawa katikati ya karne at 20 wakoloni wa Belgium walipiga marufuku mila na tamaduni hizo but Tunaambiwa bado kuna watu wa Kabila Hilo hadi sasa wanaendelea kurefusha vichwa vya watoto wa kike . Wewe unaonaje hivyo vichwa mithili ya Mtu aliyebeba mzigo wa kuni? Ni kweli urembo huo unakuvutia ?"View attachment 690372
[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni caput +++
Ila duh!hizi tamaduni sijui urembo mwingine hapana.
Kurefusha kichwa hivyo??hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom