Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1b71c47c72614f71540c1fbaa50c4903.jpg
Ameeeeeeeeeeeeeen....!!!
 
Ndo uwe na kichwa kirefu ka tikiti[emoji23][emoji23][emoji23]bora kisogo kwakweli
Hili swala ni deep kidogo hasa kwa watu wa conspiracy theories. Nadhani linahusiana na mambo ya kale, uwepo wa Mungu na nguvu za kimalimwengu. Kuna mjadala humu ulirindima sana na baadaye nikaona kwenye Ancient Aliens wanazungumzia hili suala. Lipo mahali pengi duniani tena katika mabara tofauti na inasemekana lilikuwa linafanyika ili kuiga vichwa vya miungu ya kale, miungu ambayo ilikuja kuwafunza binadamu kujenga mapiramidi na ma-monument mengine makubwa makubwa ambayo mpaka sasa wanasayansi hawajui yalijengwaje bila mashine, umeme wala mawinchi makubwa. Na kwa vile akina mama ndiyo wazazi, watoto wa kike wanapofanyiwa hivi ni uhakikisho kwamba miungu hiyo ya kale itaendeleza uwepo wake miongoni mwa watu na kuhakikisha kuwa jamii nzima inabarikiwa na kuendelea kustawi.
 
Unaumia wapi(andjul huyo kaniambia niulize hivi)

Pole jaman hahahah
Akilini. Mnaponisingizia eti akili zangu siku hizi hazina akili.

Wewe ulifikiri naumia wapi? Andjul usimsikilize. Usije ukajikuta ushabebeshwa mzigo mzito wa masaksafoni mazito marefu manene [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom