Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Lakini kila mara nilipokuwa nikikimbia, mwili wangu ulikuwa unatikisika, na watoto wenzangu shuleni walikuwa wakicheka sana na kuniita 'Fat Boy'. Ilikuwa ni kama burudani kwao, kwa hiyo nikakata tamaa, lakini sikuwahi kuacha nia yangu ya kuwa mwanariadha''.
Kila mara uigizaji na sarakasi pia zilimvutia, lakini kila alipofanya sarakasi yoyote sauti ya mwili wake ukigonga zulia na ilipokelewa na watu kwa kejeli kuashiria kuwa alikuwa hawezi.
Kila mara uigizaji na sarakasi pia zilimvutia, lakini kila alipofanya sarakasi yoyote sauti ya mwili wake ukigonga zulia na ilipokelewa na watu kwa kejeli kuashiria kuwa alikuwa hawezi.