carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni caput +++Tunaambiwa pichani ni wanawake wa Kabila la Mangbetu kutoka Congo ambao wana utamaduni wa kurefusha vichwa vyao kwa kufunga na kukaza sana kitambaa mtoto wa kike anapozaliwa wakati fuvu lake likiwa bado halijakomaa ili kumuongezea urembo !! . Ingawa katikati ya karne at 20 wakoloni wa Belgium walipiga marufuku mila na tamaduni hizo but Tunaambiwa bado kuna watu wa Kabila Hilo hadi sasa wanaendelea kurefusha vichwa vya watoto wa kike . Wewe unaonaje hivyo vichwa mithili ya Mtu aliyebeba mzigo wa kuni? Ni kweli urembo huo unakuvutia ?"View attachment 690372
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]nilijua ni caput +++
Ila duh!hizi tamaduni sijui urembo mwingine hapana.
Kurefusha kichwa hivyo??hapana kwakweli
Mkuu konge wapi hiyo
Ndo uwe na kichwa kirefu ka tikiti[emoji23][emoji23][emoji23]bora kisogo kwakweliHahahaha
Kuna wale wasiopenda visogo
SHIMBA YA BUYENZE njoo tupite hapa
Daaah Numb ilikuwa bahati mbaya TuAcha hizo utatuharibia uhondo maana cole nae anaanza anza kutupia zake
Nice[emoji7]
Twende bhasiNice[emoji7]
Bila shaka hapa itakuwa India...