Utamkuta jembekiloNgoja nipige hodi, sijui nitamkuta nani hapa.
Hodi hodi hodiiii wenyejii
kwema za kupotea mamynumbisa..cole williams..isis..kichwa kichafu..na wengineo kwem jamani??
nzuri mkuukwema za kupotea mamy
Coming to AmericaEddie Murphy
njema snKwema kabisa,za masiku?
Hutaki sasa hujapata like yake sasa hiviMhhh
Activist.Steve Biko
Naona unanipiga madongoHilo hilo libaradhuli lako ndio chanzo
Mtanikoma mwaka huuu.... kweli mti wenye matunda....Nilikutafuta kwa simu yako, ikapokelewa na uniq, Nikaishia kumsalimia
Inaitwa Roots.What is your kunta kinte aisee umenikumbusha mbali inaitwajwe hiyo filamu
Na badoooHahaha juzi usiku nilimpigia nimpe mwaliko wa idd ukapokea simu yake, jamaa acha wivu[emoji2] [emoji2]