uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,086
Hasa wewe. Yani natamani nikurushie kwenye tundu la simba[emoji125] [emoji125] [emoji125] Mkuu wewe kila mtu ni mbaya kwako?
Hasa wewe. Yani natamani nikurushie kwenye tundu la simba[emoji125] [emoji125] [emoji125] Mkuu wewe kila mtu ni mbaya kwako?
Wivu tuuUsimchekee utakosa vingi vitamu kwa ajili yake
Naomba ni mtafsirie.... Love you sanaUkhuth ndbdhfurgeygwsj sana
RootsWhat is your kunta kinte aisee umenikumbusha mbali inaitwajwe hiyo filamu
ISIS huyu yupo kweli haiAnna Nicole Kidman
SarafinaWhoopy Goldbug
Wewe unatutafuta weweHuu uzi ni wa kichochezi...
Huko unakokimbilia unaenda kuzidi kuchochea kupeana likes,
Mods fanyeni kazi yenu, msije thubutu kugusa like zetu...
Mkipigwa mkwara mara moja moja siyo mbaya...
Laikiiiiiiis powerrrrrrrrrrr!!
Mbona mapemaWapendwa jioni njema
Nadhani mtanielewa tu mwaka huuUnamjua au unamsikia?
Well come nyiramba girl tumekumiss hile mbayahabariiiiiii bhandugu,,,, habari ya sikukuu vp? niliwamithiiii