carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiiiimtabisha...maana mmoja anaona mwezi mwingine jua!!
kwa hiyo chagua mtu wako ambaye utakuwa unaenda kuomba msaada wa ushauri kutokana na tukio lililokuudhi
Unapotezea tu...and you go enjoy your life baby girl...Msisitizo ni YOUR LIFE and not jirani's life...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jiraniiiii,tunaongeaga usiku na nani tena??
SHIMBA YA BUYENZE msikie jirani huku
Achana na hiyo banaa wee juanga iko manzi ingine ipo poa malaika hasogei... Nini mbayaAmna hizo ndo type zangu kama wewe vile
8. Hujifunza katika makosa na changamoto wanazopitia.
9. Ni wabunifu katika bageti zao.
10. Hawatafuti maadui.
Wanajenga madaraja na sio ukuta.
11. Hawaruhusu viburi ama hisia zao kusimama katika njia zao.
6. Hawakubali kushindwa na historia/background zao.
7. Hawategemea bahati na nasibu ili kufanikiwa au kutatua matatizo hayo.
8. Hujifunza katika makosa na changamoto wanazopitia.
9. Ni wabunifu katika bageti zao.
10. Hawatafuti maadui.
Wanajenga madaraja na sio ukuta.
11. Hawaruhusu viburi ama hisia zao kusimama katika njia zao.
I forgot that this is your favourite color...damn it !!!Hiyo blue sasa[emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji4][emoji4][emoji4]sawa SYB[emoji120][emoji120][emoji120]Unapotezea tu...and you go enjoy your life baby girl...Msisitizo ni YOUR LIFE and not jirani's life...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] tinginya...Hivi hiyo gari ni aina gani?
Ngoja ninyamaze....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wooooiiiii
Jiraniiiiiii
Nabishaaa,leta evidensi[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hivi unanini lakini??[emoji23][emoji23][emoji23]Achana na hiyo banaa wee juanga iko manzi ingine ipo poa malaika hasogei... Nini mbaya