Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4a1e96fda1f724ab2415636e53731780.jpg
Yaani pasipoti yangu hata mwezi haijamaliza inabidi tena nianze mchakato kupata mpya? 150, 000 kutoka 50, 000 na inawezekana jamaa wanapiga hela ndeefu wanunue maVogue. Halafu tukiitwa shithole countries tunalalamika. Pathetic !!!
 
1. Umri mdogo wa kikomo cha maisha “life expectancy”

Kama unafahamu hili jambo linaloitwa “life expectancy” utakubaliana na mimi kwamba umri wa mwanaume wa kuishi ni mdogo sana ukilinganisha na mke wake, hususani kusini mwa jangwa la sahara. Kwa hiyo wanawake wanapewa nafasi kubwa ya kuishi muda mrefu kuliko waume zao.
 
Yaani pasipoti yangu hata mwezi haijamaliza inabidi tena nianze mchakato kupata mpya? 150, 000 kutoka 50, 000 na inawezekana jamaa wanapiga hela ndeefu wanunue maVogue. Halafu tukiitwa shithole countries tunalalamika. Pathetic !!!
Nilikua nabishana na mtu huko akaniambia ukishafika marekan passport haina umuhimu tena labda uwe na safari,ila majibu yake sasa hata sikumuelewa,
IMG_20180206_085200.jpg
IMG_20180206_085238.jpg
Sasa kwan wewe una safari?
 
2. Ugumu katika kufunguka

Utakubaliana na mimi kwamba wanaume ni wagumu sana tena sana kufunguka na kushirikisha mambo yao, wao wako tayari wafe na tai shingoni wakijifanya hawaumii au hawasikii shida. Mkiwa na ishu kwenye ndo mkaitwa sehemu muyaongee yeye kamwe hamumpati, anakwambia mambo yetu tutasuluhisha wenyewe wakati ndani yanamla na kummaliza. Na kwa mtaji huu watakufa sana tu
 
3. Ugumu katika kusamehe

Kusamehe sio tu kwa faida ya anayesamehewa bali pia kwa afya yaw ewe unayesamehe. Mzigo unaotokana na kusamehe hutuumiza sana mioyo yetu, hata kama mara nyingine tunajifanya hatuna shida yeyote. Unaposamehe unaachilia mzigo mkubwa, wanaume wao ni wagumu sna kusamehe. Wako tayari wakubebe moyoni miaka, na tena watakukumbusha uchungu wao kila wanapokuona. Hii inawala sana bila wao kujua.
 
4. Tabia hatarishi

Wanaume wengi kwenye ndoa ndio wanaoongoza kushiriki tabia hatarishi kama vile ulevi, anasa, ngono holela na hii huwaweka karibu zaidi na jeneza kuliko wake zao waliowaacha nyumbani wakiwadanganya kuwa wako mkutanoni mkoani.
 
5. Ugumu katika kujali afya

Ni rahisi sana mwanaume akajisikia vibaya lakini asiende hospitalini kuangalia afya, hata pale anapohimizwa kwenda bado anaweza kukwepa au kubisha au hata kusema kuwa ameshakwenda au ameshakunywa dawa kumbe mwongo. Wako pia ambao wanaweza kupewa dawa na wasizitumie.
 
6. Msongo wa mawazo

Wanaume ndio wabebaji wakubwa wa shehena za msongo wa mawazo “stress” ingawa kwa nje wanajitahisi sana kuonyesha kuwa mambo yako shwari wakati wanatafunwa ndani. Kaulize hospitalini, wanaokufa kwa presha ya kupanda au ya kushuka, stroke, kusimama kwa moyo, kupasuka kwa mishipa ya damu, matatizo ya mifupa, au kuumwa sana kichwa, halafu uliza ni jinsia gani.
 
Ni ukweli usiofichika kwamba, haipendezi kumsema mtu au kumteta lakini imekuwa vigumu kujizuia na hali hii inatokea kazini, kwenye mitaa na hasa pale wanapokutana watu wenye hamu hiyo ya kupenda kuteta wenzao bila kuwa na sababu maalumu, hali hii inaelezwa na Mwanasaikolojia Cécile Guéret.
 
Wengine wanakuwa na tabia hii kwa sababu ya kutaka kushirikisha marafiki zao nini kinaendelea kuhusu maisha yao au maisha ya mtu fulani na hii imesemwa na Mwanasaikologia Frédéric Fanget kwamba “Ni njia ya moja kwa moja ya kuzungumza vizuri mwenyewe, na wasikilizaji wako, pia ni furaha ya kufanya udadisi wa wengine wanapenda habari zao zijulikane”.
 
Back
Top Bottom