Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
f37e9d618a7322ea714f3d1aeb7aca7b.jpg

[emoji1317][emoji1317][emoji1317][emoji1317]
 
Asante shemeji. U nguzo imara kwa wengi. Mola Atakulipa [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]

Natumaini kutapambazuka muda si mrefu. Japo kutakuwa na ukungu lakini jua hatimaye litaangaza, ukungu utaisha na maisha yataendelea. Mungu Yupo [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Yaani hayo maombi iwe ndio mimi nimeishika taa ya kumwangazia carba....

Na carba awe anapenda kula vitu vinono,au vikubwa vikubwa hiviii...

Na mimi kama alivyo SYB kupenda vyakula mnato laini mithiri ya konokono...

Na ninavyopenda kuendesha gari...muda wote 'engine on' (in numbisa's voice).....

Halafu mimi...carba...hapa!!!...

Haki ya cole williams,carba atabadilika...yaani atajazia nini Numbisa...Jakitoo atakuwa cha mtoto...

Maana ni itakua ni mwendo wa mlenda kwa maziwa kila iendayosiku kulala...

Namuombea carba shemeji yangu ampate mtu wa kuendana nae[emoji120] [emoji120] [emoji120]

Au hata mimi tu... Kwani kuna tatizo???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom